
Staa maarufu kama Luke Cage Aka Mike Colter amewajibu wanaomponda kwa kuowa mwanamke mzungu. Staa wa Show ya Marvel “Luke Cage,” amekata kuruhusu HATERS kuingilia maisha binafsi baada ya luponda kwa kumuowa mwanamke mzungu.
Mike Colter amekuwa kwenye ndoa yake kwa miaka 16 na alitoa kauli hii kwa HATERS wake….. “Nawapenda sana wanawake weusi, mimi sio mtu wa kuchagua watu na aina ya watu,mimi ni binadamu, naangalia kilichomo ndani ya mtu,Reva Connors amekuwa mke wangu kwa miaka 16,amenipandisha wakati ni meshuka mara nyingi zaidi, nampenda na kumthamini“.
#StoriBy Mellisa
EmoticonEmoticon