Kama utakuwa mfuatilia wa stori za
mastaa hivi karibuni kulitokea kutoelewana kati ya Billnass na
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness aka Diva
The Bawse.
Sasa leo Sept 20, 2016
Billnass ameipata heshima millardayo.com & Ayo TV kueleza jinsi
ilivyokuwa mpaka kumaliza tofauti zake na kuyaongea haya>>>Issue
ilitokea baada ya kuandikwa kwenye magazeti stori yenyewe mimi
sijaisoma niliiona kupitia mtandao wa Instagram na nakumbuka ile siku
nilipokuwa naelekea Clouds FM nikakutana na Diva nikaeleza ukweli wa
hali halisi ilivyokuwa na mwisho tukayamaliza’
EmoticonEmoticon