Rapper ZaiiD amesema ngoma kuwa baada ya ngoma yake ‘Wowowo’ na kupokea show nyingi anatarajia kuachia kazi yake mpya kuanzia muda wowote.
Video: Grace Matata na Wakazi wafanya yao jukwaani
Grace Matata ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria katika uzinduzi wa albamu ya Wakazi ‘Kisimani’. Wawili hao walitoa burudani ya nguvu kwa kuimba wimbo waliofamya pamoja uitwao Dakika Moja.
Video: Nikki Mbishi akichana mistari ya ngoma ‘I’m Sorry JK’
Nikki Mbishi ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria katika uzinduzi wa albamu ya Wakazi ‘Kisimani’, Nikki alitoa burudani ya aina yake kwa kuanza kuchana mistari kutoka kwenye ngoma yake I’m Sorry JK.
Video: One The Incredible na Wakazi wapagawisha kwa Free Style
Katika uzinduzi wa albamu ya Kisimani kutoka kwa Wakazi, Rapper huyo kwa kushirikiana na One The Incredible walishusha michano ya nguvu kwa waliohudhuria event hiyo. Watazame hapa.
Video: ZaiiD afunga show na Wowowo
ZaiiD ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria katika uzinduzi wa albamu ya Wakazi ‘Kisimani’. Kwa kushirikiana na wenzake wa kundi la SSK waliweza kutoa burudani ya nguvu kwa kuimba hit song, Wowowo..
Video: Rap wa Wakazi yawakosha zaidi Warembo
Rapper Wakazi ametoa burudani ya aina yake katika uzinduzi wa albamu yake mpya ”Kisimani’, wakati akiimba verse inayopatikana katika ngoma ya Chindo Man ‘Torati ya Mtaa’ ambayo ameshirikishwa, aliibua shangwe hasa kutoka upande wa kina dada. Mtazame hapa.
New Video: Prezzo X Dogo Janja – Hamsa Mia
Msanii wa muziki Prezzo kwa kushirikiana na Dogo Janja wameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Hamsa Mia’. Audio ya ngoma hiyo imefanywa na Daxo Chalii & Marco Chalii katika studio za Mj records,Video imeongozwa na Msafiri kwetu Studio.
Subscribe to:
Posts (Atom)