Video: Nikki Mbishi akichana mistari ya ngoma ‘I’m Sorry JK’ SAKANABA 13:07 Burudani Videos Nikki Mbishi ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria katika uzinduzi wa albamu ya Wakazi ‘Kisimani’, Nikki alitoa burudani ya aina yake kwa kuanza kuchana mistari kutoka kwenye ngoma yake I’m Sorry JK. Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+
EmoticonEmoticon