Najua wengi mtakuwa mnamfahamu mchekeshaji mkubwa na maarufu duniani kutokea Marekani Kevin Hart, amezikamata
headlines kwenye mitandao mbalimbali kwa uamuzi wake wa kurudi kwenye
Game ya muziki wa Hip hop ambapo apo awali alisitisha na kujikita kwenye
fani ya uchekeshaji zaidi.
Kituo kikubwa cha Marekani Enews kimeripoti kuwa Kevin Hart a.k.a Rapper Chocolate Droppa jina analolitumia kimziki ambapo Leo September 19 2016 ameachia single iliobeba jina “Baller Alert” chini ya studio Motown Records za Marekani.

Zaidi anatarajia pia kutoa mixtape yake ya What now? atakayoiachia Oct 7.
EmoticonEmoticon