
Mwigizaji mkubwa wa filamu Matt Damon uliyemuona kwenye filamu kubwa kama Jason Bourne amekiri kuwa hana mpango wa kuigiza kama SUPER HERO kwenye filamu sababu hajaona kama kuna filamu hio ambayo ni mpya kwake.
Akitoa jibu kuhusu mchongo huo Matt Damon alisema “Sijaona filamu ya super hero itakayonivutia kufanya, mpaka sasa tunazirudia tu zile zile ila akitokea muongozaji mzuri akanipa dili zuri nitafanya kama nitaipenda husika hio”.
#StoriBy Mellisa
EmoticonEmoticon