
Kituo cha E! Nchini Marekani kimesema Hakuna matumaini ya kurudiana kwa mastaa wa filamu wakubwa duniani Brad Pitt na Angelina Jolie na kwamba tayari wameanza mipango ya talaka….
Palikuwa na stori hivi karibuni kuwa wawili hawa walianza maongezi ya kuwa pamoja tena na hata kuonekana eneo moja.
Taarifa mpya zinasema Brad Pitt na Angelina Jolie wanaharakisha mgawanyo wa mali na swala la malezi ya watoto ili kukamilisha talaka yao.
EmoticonEmoticon