Chris Brown kawataja waimbaji wakubwa watatu anaowakubali zaidi #DeadOrAlive

Mkali wa RnB duniani Chris Brown amewataja wasanii waimbaji wakubwa watatu anaowakubali zaidi #DeadOrAlive katika mchezo wa Kikapu wa mastaa wa BIG 3
Chris aliulizwa kama atataka kuweka pamoja wasanii waimbaji watatu anaowakubali atamuweka nani,nani na nani ?
1-Michael Jackson
 
2-Prince
3-Elvis


EmoticonEmoticon