Tanzania imepata msiba wa bondia Thomas Mashali ambaye inadaiwa aliuwawa kwa kusingiziwa kuwa mwizi eneo la Kimara Dar es salaam usiku wa October 30 2016.
Polisi wamesema taarifa ya kifo chake itatoka Jumatano lakini baba yake mzazi amesema tayari wanaodaiwa kumuua wameshaanza kukamatwa.
“Kwa
mara ya mwisho Mashali tulikuwa nae jana katika vikao vya michezo yao
hii akaniambia kuna mtu anataka kunipromote anaitwa Sadiki Kinyogoli
nikamwambia namfahamu, baadae nikampigia akaniambia baba bado nipo
kwenye kikao”
EmoticonEmoticon