List ya Midundo ya Bongofleva anayoikubali Godzilla

Mkali wa midundo ya Hiphop Godzila amekutana na Ayo TV pamoja na millardayo.com na ametusogezea list ya ngoma kali za Bongoflevani anazozikubali lakini pia ametusogezea Exclusive za wasanii gani wa Bongo anatamani warudi kwenye game kama zamani.
Naukubali muziki wa Profesa J Bong Dar es salaam, Ay Raha tu, Mike Tee na pia napenda miziki zaidi ya hii‘ Godzillascreen-shot-2016-10-20-at-2-56-20-pm
Pia Godzilla amewataja wasanii anaotamani warudi kwenye game ya Bongofleva kama zamani ‘ natamani kumuona Josline, Jose Mtambo sijui nini kimetokea kwao lakini kama hawa watarudi kwenye game nitakuwa nafuraha


EmoticonEmoticon