
Ni October 20, 2016 ambapo Casso Montana kutoka label ya Ndauka Musicinayosimamiwa na mwigizaji Rose Ndauka ameachia hii video mpya ya single yake iitwayo Kitonga.
Unaweza ukaitazama hapa chini kisha usisahau kutuandika maoni yako ili mkali huyo akipita ajione kutoka kwa watu wake
EmoticonEmoticon