Mastaa hutumia pesa zao kuwanunulia wapenzi wao vitu tofauti vya
thamani kama magari na maboti ya kujimwaga kwenye bata, ila Diamond
ambaye ni miongoni mwa mastaa wa kubwa wa bongo fleva yeye kanunua jumba
kubwa Afrika Kusini atakalo ishi na watoto wake kitu ambacho Zari
amekiona ndio cha maana zaidi.
Kupitia instagram yake Zari aliandika “
Happy birthday to moiiiii courtesy of @diamondplatnumz thank you for always taking care of me????????. Wenye wivu…..? ”
Post hii iliambatana na Picha ya Jumba lao Afrika Kusini.
#StoriBy Melisa
EmoticonEmoticon