Baba wa Angelina Jolie ‘Jon Voight’ azungumzia hali ya mtoto wake baada ya kutengana na Brad Pitt.


Baba mzazi wa Angelina Jolie ”Jon Voight’ ameongelea hali ya mtoto wake baada ya taarifa kuwa anatengana na mume wake mwigizaji Brad Pitt.
Jon Voight amesema “Nauhakika anaendelea vizuri, sijaongea naye toka watangaza taarifa hizi“.
Angelina Jolie na Brad Pitt wametangaza rasmi kutengana hivi karibuni na imekuwa taarifa kubwa kwenye vyombo vya habari vya aina yote kutokana na umaarufu wao kwenye filamu na mambo tofauti ya misaada duniani pamoja na kuwa kwenye ndoa zaidi ya miaka 12.
38bccec300000578-0-image-a-33_1474721068455


EmoticonEmoticon