Vipi kuhusu ‘Sweatpants ‘ wadada


Wapenda fashion wote lazima wajue kuwa kila ifikapo Jumapili lazima apata habari za mitindo kutoka Bongo5, na leo tutaangazia kuhusu ‘Sweatpants’ jinsi zinavyowatoa bomba wadada.
Sweatpants ni aina ya suruali iliyopo kwenye mfumo wa tracksuit ila hizi ziko tofauti kidogo kwani zipo nyepesi na mzito, kwa kuangalia tu unaweza itambua Sweatpants maana kitambaa che kina muonekano unaokushawishi hivyo utaigundua.


Tayari mastaa kadhaa wamesha anza kurock na aina hii ya suruali na imekuwa ikivaliwa kwa raba ana simple shoes au high heels…. pia wengine utumia kuvalia kwa simple top ama majaket flan hivi amaizing ilimradi tu Sweatpants ipate thamani yake.


Ukivaa Sewatpants unatakiwa uangalie ni wapi unaenda mfano unaweza ukavaa kwenye party ama simple walking like beach, chonde chonde kama nafanya kazi taasisi zisizoendana na mavazi haya hebu yape break kwa weekly kisha tinga kwa weekend, ila kama ofisi yeko ni ya kiburudani we tinga tu coz ni time yake kutraending sokoni.

SOURCE:  BONGO5


EmoticonEmoticon