Picha ziko hapa, Tiwa Savage na Wizkid wafanya video ya colabo yao ‘Ma Lo’.


Hizi Picha kutoka kwenye video shoot ya Tiwa Savage na Wizkid colabo yao ya ‘Ma Lo’ ikiwa ni siku chache tu baada ya Tiwa kutangaza EP mpya ya “Sugarcane”, Kwenye wimbo huu pia anasikika msanii Spellz.
 


EmoticonEmoticon