Chris Brown ambania Tyga kwenye ‘Heartbreak On A Full Moon’

Ushikaji ni ku-support ana na kupeana dili , ila hii kama ipo tofauti kwa mtu mzima Chris Brown kwa mwaka huu.
Hii ni kutokana na kuwa mshikaji wake wa karibu rapper Tyga kutokuwepo katika ngoma hata moja kwenye albamu ya tisa ya mtu mzima Chris Brown ya ‘Heartbreak On A Full Moon’ yenye  ngoma takribani 45.
Tyga na Chris wameshawahi kufanya ngoma kadhaa ikiwemo,’Ayo’ pia na albamu ya ‘Fan of a Fan: The Album’ iliyotoka mwaka 2015, ila mpaka sasa hakuna habari wale tetesi kuwa wawili haowana beef , ila maswali yameanza kuibuka kuwa kwa nini Tyga hajasikika kwenye albamu hiyo ya rafiki yake ?
Hizi ni ngoma 45 katika albamu ya mpya ya Chris Brown.
1. “Lost & Found”
2. “Privacy”
3. “Juicy Booty” Feat. Jhené Aiko and R. Kelly
4. “Questions”
5. “Heartbreak on a Full Moon”
6. “Roses”
7. “Confidence”
8. “Rock Your Body”
9. “Tempo”
10. “Handle It” Feat. DeJ Loaf and Lil Yachty
11. “Sip”
12. “Everybody Knows”
13. “To My Bed”
14. “Hope You Do”
15. “This Ain’t”
16. “Pull Up”
17. “Party” Feat. Usher and Gucci Mane
18. “Sensei” Feat. A1
19. “Summer Breeze”
20. “No Exit”
21. “Pills & Automobiles” Feat. Yo Gotti, A Boogie Wit Da Hoodie and Kodak Black
22. “Hurt the Same”
23. “I Love Her”
24. “You Like”
25. “Nowhere”
26. “Other Ni**as”
27. “Tough Love”
28. “Paradise”
29. “Covered in You”
30. “Even”
31. “High End” Feat. Future and Young Thug
32. “On Me”
33. “Tell Me What to Do”
34. “Frustrated”
35. “Enemy”
36. “If You’re Down”
37. “Bite My Tongue”
38. “Run Away”
39. “This Way”
40. “Yellow Tape”
41. “Reddi Whip”
42. “Hangover”
43. “Emotion”
44. “Only 4 Me” Feat. Ty Dolla $ign and Verse Simmonds
45. “Grass Ain’t Greener”


EmoticonEmoticon