Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini Tanzania, Dudubaya amekanusha taarifa zinazozagaa mtaani kuwa amemtelekeza kijana wake Wille mwenye umri wa miaka 17, kwa kutomlipia ada ya shule na kupelekea kijana huyo kukimbililia mtaani kwa ajili ya kujitafutia kipato. Tazama video hiyo hapo chini kumsikiliza alichokiongea juu ya madai hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon