Picha: Je! Drake amekubali mimba ya mcheza picha za utupu?

Miezi michache iliyopita rapper, Drake  alidaiwa kumpa mimba mcheza picha za utupu Sophie Brussaux maarufu kama Rosee Divine licha ya kuwa team ya rapper huyo ilikana habari hizo.
Kwa mujibu wa picha zinazowekwa na rapper huyo katika mitandao inaashiria kuwa ameikubali mimba ya mrembo huyo kwani amekuwa  akionyesha chumba cha kulala mtoto.
Nyumba  hiyo mpya iliyopo Toronto, imekuwa ikifanyiwa matengenezo kwa ajili ya kuishi mtoto pamoja na binamu yake aliyepatikana.


EmoticonEmoticon