Hizi picha za Kasi J. Bennett ambaye ni mpenzi wake Usain Bolt,

Baada ya kumaliza mbio zake nchini Uingereza ,Mjamaica Usain Bolt ameanza kula bata na mpenzi wake Kasi Bennett na jumanne hii staa huyu wa riadha aliPop champagne kwenye club maarufu ya Cirque le Soir mjini London
Hizi ni picha za mpenzi wake Usain Bolt Kasi Bennett
     


EmoticonEmoticon