Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Alikiba, alikuwa kwenye kipindi cha runinga cha MTVBaseAfrica UP SYNC BATTLE.


Alikiba akiwa stejini
Kipindi hicho huwachukua mastaa mbalimbali wa muziki na kuvaa uhusika wa mtu mwingine ambapo katika kipindi cha wiki hii Alikiba alivaa kama Brenda Fassie na kuimba wimbo wake wa ‘Vulindlela’.

Alikiba ndani ya muonekano wa Brenda Fassie

Alikiba ndani ya muonekano wa Brenda Fassie
EmoticonEmoticon