YG athibitisha ujio wa mixtape mpya.


Baada ya kutoa #Still Brazy, rapa YG anawatayarisha kwa mixtape mpya.
YG amethibitisha haya baada tu ya kutoa wimbo wake wenye ujumbe wa kupiga unyanyaswaji unaofanywa na polisi Marekani “One Time Comin’.”.
YG aliandika “F**k it, Mixtape koming soon.


EmoticonEmoticon