Nay
wa Mitego ni kati ya Mastaa wa Tanzania ambao karibia kila
wanachokifanya kwenye maisha yao hugeuka kuwa Headlines kubwa kutokana
na style ya vitu wanavyofanya. Leo October 27, 2016 kupitia Instagram
Rapa Nay wa Mitego a.k.a True Boy amepost video mbili akiwazungumzia
Wema Sepetu na Idris Sultan.
Kwa mujibu
wa Video hizo Nay anasikika akihoji kilichomaliza pesa za mshindi huyo
wa shindano la Big Brother Afrika msimu wa 2014 na kuondoka na mkwanja
mrefu sana kiasi cha shilingi Milioni 500.
Baada ya
ushindi wake Idris aliingia kwenye headlines za kudate na mastaa wengine
akiwemo mshiriki mwenzake wa shindano la BBA Samantha ambaye waliachana
na akaanza kudate na Wema Sepetu ambaye naye ziko stori kwamba wawili
hao hawako pamoja japo hakuna aliyethibitisha wala kukanusha mpaka sasa.
Sasa Nay wa Mitego anauliza je zile Milioni 500 za Idris ni mwanamke gani amezimaliza kati ya Wema Sepetu au Samantha.
Nimekuwekea hapa Video ya Nay wa Mitego akihoji pesa za Idris zimeishaje.
Alichoposti Nay wa Mitego kuhusu Wema Sepetu na milioni miatano za Idriss Sultan
Alichoposti Nay wa Mitego kuhusu Wema Sepetu na milioni miatano za Idriss Sultan
EmoticonEmoticon