
Kama wewe ni mpenzi wa kufuatilia mastaa wa nje ya nchi, maisha yao ya kawaida na kimziki na siku zote nina hakikisha haupitwi na chochote mtu wangu , leo hii nakusogezea picha za staa wa RnB & Pop mwanadada Rihanna akiwa na katika muonekano mpya wa kiafrika zaidi.
Licha ya mrembo huyu kuwa staa wa muziki pia Rihanna ni mwanamitindo na amekuwa akitinga pia mavazi ya kiafrika ambayo nimeona pia wewe mtu wangu uweze kumwona akiwa katika staili hii ya nyumbani, nakusogezea picha 10 uweze kujionea hapa chini.

Nguo hii imedizainiwa ikiwa na madoa madoa ya mnyama aina ya chuo kwa upande wa nyuma na mikono kama unavyoona

kitambaa cha nguo hii kwa Afrika upendelea kuitwa Makenzi au culture

Nguo hii imedizainiwa Kinigeria jina Ankara – Fashion – Nairaland

Gauni hili la kitenge ambalo kwa ndani amevaa na shati la pamba lenye mikono mirefu

Gauni hili la mfumo wa pamba lakini pia kwa Afrika ama Tanzania huitwa Dera

gauni hilila kitambaa cha kinigeria na dizaini ya lemba, na aliye design nguo hii ni mnigeria mwenye jina Chuuzus

hii ni nguo imedizainiwa na khanga

hii ni aina ya Animal Print ya mnyama Zebra ambayo imeongezewa rangi tu nakuwa njano


Gauni hili limetengenezwa na animal print ya Zebra ambayo kwenye colla wameweka manyoya kama unavyoona mtu wang
u
u
EmoticonEmoticon