Drake alivyojibishana na shabiki aliyemtukana mtandaoni.



Rap staa kutoka Canada Drake amempa makavu shabiki aliyotoa matusi mtandaoni huku akimtetea Kid Cudi baada ya diss ya Drake.
Shabiki huyu aliweka wazi kuwa alikuwa anamuheshimu sana Drake ila baada ya kumdiss Kid Cudi, hana heshima tena kwake…
Drake alisema “mans need to stop mentioning my name when they get geeked, supposed be all love out here word to my bro Pablo.” akimaanisha “Kid anabidi aache kutaja taja jina lake, panatakiwa kuwa na mapenzi tu na ,fresh kwa Kanye West”.
drake


EmoticonEmoticon