Dogo Janja anatarajia kufanya collabo nyingine East Africa


Hit Maker wa Mdundo wa Kidebe na My Life Dogo Janja amewekaa wazi mipango yake mingine baada ya kufanya collabo na wakali kutoka Uganda Radio na WeaselDogo Janja ametangaza kuingia studio na mkali mwingine kutoka Kenya Prezzo
Watu wangu watarajie kuona collabo yangu na mkali mwingine kutoka Kenya nina collabo na Prezo kuna ambayo mimi nimemshirikisha yeye na nyingine nimeshirikishwa na Prezo unaweza ukaona ni jinsi gani sana yangu inavyovuka mipaka‘ Dogo Janja


EmoticonEmoticon