Ikiwa ndio Weekend ya Zari kwaajili ya kusherehekea Birthday yake,
imekuwa miongoni mwa stori zinazofuatiliwa zaidi kwenye mitandao ya
kijamii.
Ndugu zake Diamond kama Romy Jones, Esma na hata mama mzazi wa
Diamond hawakutoa ujumbe au kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Zari kitu
ambacho pia kimeongelewa zaidi.
Hizi ni picha za Couple hii Diamond na Zari kwenye bata lao Zanzibar.
EmoticonEmoticon