New Video: Ivan -Tunapendana

Director wa video za muziki Bongo ambaye pia ni msanii wa muziki, Director Ivan ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Tunapendana’. Audio ya ngoma hiyo imeteyarishwa na Bob Manecky kutoka studio za A.M Records. Itazame hapa.



EmoticonEmoticon